Ingia mnadani
Nunua Hitajilako kwa bei nafuu Leo.
Welcome to Mnada Wetu. Our great selection of products from people in need of money will cover all of your needs, whatever and wherever they may be in Mugumu Serengeti Ground. Enjoy our exceptional shopping experience and contact our customer service with questions or comments.

Je Upo Mugumu Serengeti na unahitaji kuuza bidhaa yako ama Mali unayo miliki kujipatia pesa bila kupata wateja? Je unahitaji kukodisha nyumbayako inayohitaji wapangaji? Mnadawetu tupo kwajili yako tuite kwakutumia mawasiliano yetu hapo Chini nasi tutakutangazia na kukuuzia/kukupatia mpangaji mapema iwezekanavyo!
Kama ndege tunakufikia popote ulipo Mugumu Serengeti.

Pesa sio tu uliyo nayo kwenye poach yako ama benk account yako, hata ulivyo navyo hapo nyumbani nipesa,
Uza unacho kimiliki na upate pesa hapa hapa mnadawetu
Iwe usafili, nyumba, kiwanja, kitanda, simu, mabati, meza, viti, solar, TV, sofa, nk..Mali yako nipesaaa!Tupigie simu kama unamali unauza nasi tutakufikia
Jamis
.jpeg)
Queen ni muzaji wa nguo za mtumba mugumu Serengeti barabara ya kwenda bomani jirani na Benki ya NMB Mugumu Serengeti. anatangaza Ofa ya kupunguza bei ya bidhaa zake kwa asilimia 20, karibuni tupendeze
Queen
Mnadawetu
Tupo jirani na Benk ya NMB Mugumu Serengeti katika Banda languo za mitumba.
Tunatangaza kuuza bidhaa mbalimbali kama vile, makazi, viwanja, vyombo vya usafiri, assets za ndani kama vitanda, godoro, sofa redio. Tv, meza, kabati, na vingi kama hivi.
Pia tuna tangaza nyumba na vyumba vyakupanga ndani mji wa Mugumu Serengeti.
Ukitaka kuuza Mali yako kujipatia pesa mnadawetu ndo suruhisho.
Pia ukitaka kununua vitu safi na kwabei poa mnadawetu ndo penyewe
Karibu tuuze, karibu tununue.