Nunua kupitia mtandao mkubwa wa mnada wetu na uza bila kusugua kichwa pia.
- Hamisi Nyamasarya
- Jul 5, 2020
- 1 min read
Huna haja ya kuzunguka kutafuta muhitaji wakununua maliyako halali Leo ili kujipatia pesa,
Wasiliana nasi mnadawetu Leo nasi tutakuunganisha na watu wenye uhitaji wakununua maliyako Moja kwa Moja kupitia mnadawetu online hapa hapa Mugumu Serengeti.
Ulicho nacho no pesa, nunua na uza ndani ya mnada wetu Leo kupitia simu yako.

Comments